Saturday, 13 September 2014

Je mechi za majaribio za simba ni sawa na za Man u?

 SIMBA SC YABANWA SARE 0-0 NA NDANDA, OKWI ASHINDWA KUNG’ARA NANGWANDA SIJAONAbin zubery

bin zubery
Emmanuel Okwi leo amecheza mechi ya tatu leo Simba SC bila kufunga bao


SIMBA SC imepata sare ya kwanza chini ya kocha Mzambia, Patrick Phiri baada ya kutoka 0-0 na Ndanda Uwanja wa Nangwanda Sijaona, Mtwara. 






Arsenal ubingwa kazi bado wanayo



Lingekuwa la ushindi; Alexis Sanchez akishangilia baada ya kuifungia bao la pili Arsenal 

Diego Costa ni moto wa kuotea mbali



Kuna maswali? Diego Costa amepiga hat trick Chelsea ikiua 4-2 Ligi Kuu England

FABREGAS AWEKA REKODI MPYA

 FABREGAS AWEKA REKODI MPYA YA HATARI, NDIYE MFALME WA PASI ZA MABAO ENGLAND DAIMA MILELE from bin zubery


Mvunja rekodi: Cesc Fabregas, akimlamba chenga mchezaji wa Swansea, Bafetimbi Gomis leo