Tuesday, 14 October 2014

Tazama Picha Mbalimbali za mkutano Mkuu wa CHADEMA Leo

Baadhi ya wajumbe wa kamati kuu wakiwa katika kikao cha kamati kuu leo..
Mwenyekiti wa Taifa wa chadema Freeman Mbowe akifungua mkutano wa kamati kuu ya chama hicho leo
viongozi wa Taifa wa chadema wakiombea dua mkutano wa kamati kuu uliofanyika leo jijini Ddar es salaam kujadili maswala mbalimbali ya chama hicho pamoja na Taif
Wajumbe wa kamati kuu ya chadema wakiwa katika kikao 

No comments:

Post a Comment