Wakati Rais Jakaya Kikwete wa Tanzania na Rais wa Zanzibar, Dr Ali Mohammed Shein, leo jioni wakitarajiwa kukabidhiwa rasimu ya katiba iliyopitishwa na Bunge Maalum la Katiba, nchi hiyo inajikuta ikiwa katika mgawanyiko wa kisiasa ambao haujashuhudiwa kwa muda mrefu...
Saturday, 11 October 2014
Kikosi cha Timu ya Benin Chatua Dar, Tayari kwa Pambano lao dhidi ya Taifa Stars

Kikosi cha wachezaji 18 na viongozi 11 wa timu ya Taifa ya Benin, kimetua jijini Dar es Salaam tayari kwa mechi ya Kalenda ya FIFA dhidi ya Taifa Stars itakayochezwa Jumapili (Oktoba 12 mwaka huu) Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam...
Friday, 10 October 2014
Hatimaye Jambazi Lililokuwa Likiwauwa Wanawake Jijini Arusha Lauwawa Baada ya Majibizano Makali ya Silaha na Polisi
kamanda wa polisi akionyesha moja ya kifaa cha kufanyia tageti kabla ya kupiga kijulikanacho kwa jina laGlock Fab Defence moja ambacho jambazi hilo lilikuwa likitumia...
Thursday, 9 October 2014
Je, unataka kuwa tajiri?...Basi Tazama ni Jinsi Gani Matajiri Wanatofautiana Kifikra na Masikini
Na Richard Thomas
Huu ni utafiti wa hivi karibuni...jaribu kutumia mda wako kuusoma ili kujiongezea kitu fulani katika maisha yako na katika fikra zako...
Huu ni utafiti wa hivi karibuni...jaribu kutumia mda wako kuusoma ili kujiongezea kitu fulani katika maisha yako na katika fikra zako...
Tabia huifadhiwa kwenye ubongo katika sehemu inayoitwa basal ganglia. Hii ni sehemu yenye tishu nyingi iliyoko katikati ya ubongo na yenye ukubwa kama mpira wa golfu. Tabia huusaidia ubongo kazi....
Rooney Apambana Kuvunja Rekodi ya Sir Bobby Charlton England
MSHAMBULIAJI Wayne Rooney anajiamini ataweka rekodi ya kuwa mchezaji aliyeifungia mabao mengi zaidi timu yake ya taifa, England kwa kuvunja rekodi iliyowekwa na Sir Bobby Charlton.
Wayne Rooney anashika nafasi ya nne katika orodha ya wafungaji wa kihistoria wa mabao England na anaamini atavunja rekodi ya Charlton.....
Kesi ya utekaji iliyokuwa ikimkabili Madee yamalizika kwa kulipa faini
Kesi ya utekaji iliyokuwa ikimkabili Madee imemalizika kwa kulipa faini ya shilingi 50,000. Madee alidaiwa kumteka kijana mmoja huko Kigamboni baada ya kumuibia simu. Hakimu ametoa hukumu ya kifungo cha jela miezi sita au kulipa faini ya kiasi hicho cha fedha Madee alilipa faini.
“Yule dogo baada ya kuniibia simu tulimgonga kwa nyuma akaanguka tukamwokota na kumbeba kwenye Noah yetu tukaondoka naye. Kesho yake nilikuwa na safari ya kwenda Mwanza kwahiyo nikaachia masela wampeleke polisi na hapo mimi nilishampigia simu mama yake ili aongee na mwanae aseme simu yangu......
USA:Mgonjwa wa kwanza wa Ebola afariki

Mtu wa kwanza kupatikana na ugonjwa wa Ebola nchini Marekani amefariki ,hayo ni kwa mujibu wa maafisa wa afya katika hospitali ya Texas.....
Mwanamke ajioa mwenyewe baada ya kuchoka kuwa single kwa miaka 6!
Uvumilivu wa kusubiri mwanaume wa kuja kumpigia goti na kumuuliza ‘will you marry me?’, umemshinda mwanamke mmoja wa Uingereza, aliyeamua kuchukua uamuzi wa kujichumbia na kujioa mwenyewe!

Grace Gelder ambaye ni ‘mme na mke’ alijichumbia November, 2013 na baadae kujioa March, 2014 na kuamua kufanya sherehe ya harusi yake iliyohudhuriwa na wageni 50......
Tuesday, 7 October 2014
Sikiliza kipande cha Wimbo mpya wa Rose Muhando ‘Jiwe’
Muimbaji wa muziki wa injili, Rose Muhando amerejea na wimbo mpya uitwao Jiwe uliopo kwenye album yake mpya yenye jina lake.
East Africa’s finest and the number one gospel artist drops her second single off her 1st Sony Music Africa, Rockstar4000 recording album following her first single titled “Wololo” from her “Yesu Kung’uta album....
Kama ni unyama huu umezidi: Mama amkata mwanaye paja na kumchomea mshikaki
Mambo 10 kuhusu maisha ambayo ni ya kweli lakini tunayapotezea
kuna masomo magumu ya Maisha ambayo tunajifunza utotoni halafu yanaanza kutoweka katika mawazo yetu pale tunapoendelea kukua. Kushindwa kwetu kujua haya inabakia ni agenda ya kitaaluma zaidi.
![]() |
| Kama binadamu tunapenda mawazo ambayo yanaingia akilini mwetu tu na wakati mwingine kukataa vitu ambavyo havikwepeki. Hapa kuna mambo kumi yenye ukweli kwako na yatatokea au yapo kwako ambayo hutoweza kuyakwepa..... |
Siku Kama ya leo Kazaliwa Raisi wa Tanzania Awamu ya nne Dr.Jakaya Mrisho Kikwete-64
unaweza kushare love kwa kumtakia maisha mema na marefu......

Tunamtakia maisha marefu na yenye baraka tele.
Mastaa mbalimbali wamejiunga na watu wengine kumpongeza rais huyo. Hawa ni miongoni mwao.....
Wajukuu wa Marehemu Wacharazwa Viboko siku ya Mazishi.
![]() |
| Wajukuu wa marehemu Sabina Ngalu wa Mwanza wamecharazwa viboko na watoto wa marehemu baada ya kung’ang’ania kaburini wakitaka wapewe fedha...... |
Baba Adaiwa kumchinja Mwanaye Kama Mnyama
![]() |
| Baba mzazi mkazi wa Sengerema anadaiwa kumuua mwanaye wa miaka minne kwa kumchinja koromeo na kumchoma kwa kisu kwenye kitovu na utumbo kutoka nje..... |
Ni Vita Nyingine kati ya Phiri na Maximo: Yanga iko kwenye kiganja changu-Phiri
KOCHA Mkuu wa Simba SC, Mzambia, Patrick Phiri amesema kwamba anaijua vizuri Yanga SC na kuelekea mpambano baina yao Oktoba 18, hana wasiwasi hata chembe.

Phiri amesema kwamba aliuangalia vizuri mchezo wa kwanza wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Yanga SC ikifungwa mabao 2-0 na Mtibwa Sugar mjini Morogoro na akaangalia mchezo mwingine, wakiifunga Azam FC 3-0....

Phiri amesema kwamba aliuangalia vizuri mchezo wa kwanza wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Yanga SC ikifungwa mabao 2-0 na Mtibwa Sugar mjini Morogoro na akaangalia mchezo mwingine, wakiifunga Azam FC 3-0....
Kilichojiri Magazetini leo October 7,2014
Kama ilivyo ada kwa wewe mdau wa magazeti ni halali kabisa kwetu sisi kuakikisha kwamba unapa habari mbalimbali zilizochukua nafasi kubwa katika magazeti mengi ya siku ya leo.....chukua time yako kuangalia nini kimejiri japo kwa ufupi tuu katika kurasa za mwanzo na mwisho za magazeti yaleo.......
Hatimaye Kenya Yampiku Tanzania Katika Kuwania Uenyeji wa AFCON
KENYA ni kati ya nchi saba ambazo zimepitishwa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF) kugombea kuandaa Fainali za Mataifa ya Afrika 2017.

Wakati tarehe ya mwisho ya kuomba ilikuwa Septemba 30, mwaka huu- maombi yaliyopokelewa ni ya Algeria, Misri, Gabon, Ghana, Kenya, Sudan na Zimbabwe, huku Tanzania ikiwa ni moja ya nchi zilizokataliwa kwa sababu haijawahi kuandaa fainali za vijana kabla......
Monday, 6 October 2014
Kilichojiri katika Magazeti ya leo October 06,2014
Subscribe to:
Comments (Atom)
Mwanamama Neema Iwena aliyekatwa mapanga na mumuwe, Victor Nzali. Kwa mujibu wa mashuhuda wetu, tukio hilo la kutisha, kusikitisha na la ukatili wa kijinsia lilijiri nyumbani kwa wanandoa hao katika Kijiji cha Mlimba, Ifakara mkoani Morogoro na kusababisha vilio kwa kitendo alichokifanya mwanaume huyo cha unyama wa kupitiliza...







