Kocha wa timu ya taifa ya Nigeria, Stephen Keshi amefukuzwa kazi na shirikisho la soka nchini humo, NFF mapema Alhamis hii licha ya timu yake kupata ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Sudan jana.....
Tanzania inatarajia kuanza kuona makampuni ya simu yakiweka hisa zake kwenye soko la hisa kupitia sheria ya lazima inayolenga kuwasaidia wananchi wake kumiliki sehemu ya moja viwanda vinavyokua kwa kasi zaidi barani Afrika.....
Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa CCM kwenye ukumbi wa NEC,CCM Makao Makuu Dodoma.....
Kundi la vichekesho la orijino Komedi limenunua na kuwakabidhi nyumba 7 wasanii wa kundi hilo zwnye thamani ya shilingi milioni 840 ambapo kila nyumba moja imenunuliwa kwa shilingi milioni 120....
Sehemu ya Mabaki Lori la mafuta lililoteketea kwa moto usiku wa kuamkia leo mara baada ya kupiga mweleka likiwa katika harakati ya kulikwepa gari lingine lililokuwa likitokea Kongowe ambalo....
WATU sita wamekufa 27 wameokolewa na wengine 11 kulazwa katika hospitali ya rufaa maweni iliyopo Manispaa ya Kigoma Ujiji mkoani Kigoma baada ya boti walilokuwa wakisafiria kuzama katika ziwa Tanganyika mkoani humo....
WAKILI DAMAS NDUMBARO ‘ ATUPWA JELA YA SOKA’ MIAKA SABA
Kamati ya nidhamu ya Shirikisho la soka nchi TFF, imemfungia wakili Damas Ndumbaro kujihusisha na mambo ya soka kwa muda wa miaka saba na faini ya kiasi cha pesa....
MAMA KANUMBA NA LULU NDANI YA FILAMU MPYA IITWAYO "MAPENZI YA MUNGU"
Hivi karibu Msanii Mahiri na Nguli katika tasnia ya filamu nchini Elizabeth Michael almaarufu kama LULU ataibuka na filamu yake Mpya na yenye kusisimua iitwayo.....
Baada ya vyombo vya habari kuripoti kuhusu Waziri wa Maliasili na Utalii Lazaro Nyalandu(Pichani juu) na msanii wa filamu Aunty Ezekiel kuvinjari nchini Marekani hatimaye waziri huyo....
Wafanyakazi wa Benki moja hapa nchini wamekumbwa na simanzi iliyosababishwa na kifo cha mwajiriwa mwenzao kilichotokana na ajali iliyotokea jana jioni huko....
Mwanafunzi wa shule ya msingi jijini Dar es Salaam mwenye umri wa miaka saba, ameuawa kikatili baada ya kubakwa, kuchinjwa na kunyofolewa sehemu zake....