Tuesday, 21 October 2014

Tazama Jamaa Aliyekuwa Akijaribu Kumteka Mtoto wa Shule Jinsi Alivyochezea Kichapo Toka Kwa Raia Leo...Dar

HALI bado tete! Polisi wa Kituo cha Magomeni jijini Dar, wamemkamata baba mmoja aliyetambuliwa kwa jina moja la Omar baada ya kupokea kipigo ‘hevi’ kutoka kwa raia wenye hasira kali akihusishwa na utekaji wa denti wa Shule ya Msingi Mwalimu Nyerere iliyopo maeneo hayo....