Thursday, 16 October 2014

Hizi ndizo Faida za Kuwekeza Mda Katika kipaji Chako: Orijino Komed Wabwaga Milioni 840 Kununua nyumba 7 za NSSF


Kundi la vichekesho la orijino Komedi limenunua na kuwakabidhi nyumba 7 wasanii wa kundi hilo zwnye thamani ya shilingi milioni 840 ambapo kila nyumba moja imenunuliwa kwa shilingi milioni 120....

No comments:

Post a Comment