Rich-Home-Media
Tuesday, 2 December 2014
Tuesday, 21 October 2014
Tazama Jamaa Aliyekuwa Akijaribu Kumteka Mtoto wa Shule Jinsi Alivyochezea Kichapo Toka Kwa Raia Leo...Dar
HALI bado tete! Polisi wa Kituo cha Magomeni jijini Dar, wamemkamata baba mmoja aliyetambuliwa kwa jina moja la Omar baada ya kupokea kipigo ‘hevi’ kutoka kwa raia wenye hasira kali akihusishwa na utekaji wa denti wa Shule ya Msingi Mwalimu Nyerere iliyopo maeneo hayo....
Sunday, 19 October 2014
Thursday, 16 October 2014
Kibarua cha Kocha wa Nigeria, Stephen Keshi na wasaidizi wake chaota mbawa

Kocha wa timu ya taifa ya Nigeria, Stephen Keshi amefukuzwa kazi na shirikisho la soka nchini humo, NFF mapema Alhamis hii licha ya timu yake kupata ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Sudan jana.....
Kama wewe Unapenda Kujiongeza Kibihashara hii Inakuhusu:Makampuni ya simu Tanzania kuanza kuuza hisa kwa wananchi mwakani

Tanzania inatarajia kuanza kuona makampuni ya simu yakiweka hisa zake kwenye soko la hisa kupitia sheria ya lazima inayolenga kuwasaidia wananchi wake kumiliki sehemu ya moja viwanda vinavyokua kwa kasi zaidi barani Afrika.....
Je wewe ni Msanii? au unafuatilia wasanii?:Tazama Kinachowaangusha Wasanii Wengi Hapa nchini na Kwingineko..
yawezekana wewe ni msanii na unaona mambo yako hayaendi sawa.....haujadumu kwenye game kwa mda mrefu...basi chukua hii ikusaidie....
Angali Picha za Meli kubwa Kuliko Zote dunian ilivyotia nanga Uingereza
Tazama picha za Gari Lililobeba Ng'ombe Lapata Ajali Ubungo Dar
Mfanyabiashara wa mifugo hiyo, Abdalah Juma, akionyesha eneo la bega aliloumia katika ajali.....
Tuesday, 14 October 2014
Tazama picha Mbalimbali za Lori la Mafuta lililoteketea kwa Moto Jijini Dar Maeneo ya Mbagala Usiku wa Kuamkia leo

Sehemu ya Mabaki Lori la mafuta lililoteketea kwa moto usiku wa kuamkia leo mara baada ya kupiga mweleka likiwa katika harakati ya kulikwepa gari lingine lililokuwa likitokea Kongowe ambalo....
Kwa wale Mnaopenda Kuvaa Gwanda za Jeshi na Huku Hamtaki Kwenda Kutumikia Jeshi na Kuzipata kihalali Usisubutu kukutwa...Tazama Jamaa Dimbwi la Maji Machafu Lajeuka Swimming Pool
Picha unazoona sio utani wala sinema ni raia wa kawaida akiogelea kwenye dimbwi kwa amri ya mwanajeshi....
Monday, 13 October 2014
Kama wewe ni Mfanyabihashara wa Kimataifa au Unataka kuwa MfanyaBihasha wa Kimataifa....Na Kikwazo ni Visa/Passport Chua hii ikusaidie
Zifuatazo ni nchi ambazo raia wa Tanzania anaweza kwenda bila kuwa na visa.
Watu 6 wafariki Dunia na 21 Waokolewa katika ajali ya Mtumbwi Ziwa Tanganyika..
WATU sita wamekufa 27 wameokolewa na wengine 11 kulazwa katika hospitali ya rufaa maweni iliyopo Manispaa ya Kigoma Ujiji mkoani Kigoma baada ya boti walilokuwa wakisafiria kuzama katika ziwa Tanganyika mkoani humo....
Hiki Ndicho Kilichomkuta Wakili Damas Ndumbaro....Baada ya Kuwa Maharufu kwa mda Mfupi tuu Katika Soka
WAKILI DAMAS NDUMBARO ‘ ATUPWA JELA YA SOKA’ MIAKA SABA
Hii Ndio Filamu Mpya Ambayo mama KANUMBA na LULU wamo ndani...."MAPENZI YA MUNGU"
MAMA KANUMBA NA LULU NDANI YA FILAMU MPYA IITWAYO "MAPENZI YA MUNGU"

Hivi karibu Msanii Mahiri na Nguli katika tasnia ya filamu nchini Elizabeth Michael almaarufu kama LULU ataibuka na filamu yake Mpya na yenye kusisimua iitwayo.....
Waziri Nyalandu Avunja Ukimya na Kuzungumzia Kuhusu Tetesi zilizotolewa na Vyombo vya Habari Vikidai kwamba Alikuwa Akivinjari na Msanii wa Bongo Movie....
Zimwi la Ajali Bado Lazidi Kuiandama Tanzania: ni Majonzi Mukubwa...

Wafanyakazi wa Benki moja hapa nchini wamekumbwa na simanzi iliyosababishwa na kifo cha mwajiriwa mwenzao kilichotokana na ajali iliyotokea jana jioni huko....
Tazama Jinsi Mwanafunzi Alivyouwawa Kikatili Maeneo ya Mbezi Temboni
MWANAFUNZI AUWAWA BAADA YA KUBWAKWA,ACHINJWA

Mwanafunzi wa shule ya msingi jijini Dar es Salaam mwenye umri wa miaka saba, ameuawa kikatili baada ya kubakwa, kuchinjwa na kunyofolewa sehemu zake....
Saturday, 11 October 2014
Amaa Kweli Wivu una Nguvu Kuliko Utu: Mume Amfyeka Mguu Mkewe
Mwanamama Neema Iwena aliyekatwa mapanga na mumuwe, Victor Nzali. Kwa mujibu wa mashuhuda wetu, tukio hilo la kutisha, kusikitisha na la ukatili wa kijinsia lilijiri nyumbani kwa wanandoa hao katika Kijiji cha Mlimba, Ifakara mkoani Morogoro na kusababisha vilio kwa kitendo alichokifanya mwanaume huyo cha unyama wa kupitiliza...
Kikosi cha Timu ya Benin Chatua Dar, Tayari kwa Pambano lao dhidi ya Taifa Stars

Kikosi cha wachezaji 18 na viongozi 11 wa timu ya Taifa ya Benin, kimetua jijini Dar es Salaam tayari kwa mechi ya Kalenda ya FIFA dhidi ya Taifa Stars itakayochezwa Jumapili (Oktoba 12 mwaka huu) Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam...
Subscribe to:
Comments (Atom)







