Rich-Home-Media

Pages

  • Home
  • Michezo
  • Habari
  • Pictures
  • Magazeti
  • Humours/Mzaha
  • Fikra Yakinifu
  • music

Monday, 15 September 2014

Huu ndo utofauti na umuhimu wa Hazard Chalsea

HAZARD KUWA MCHEZAJI ANAYELIPWA ZAIDI KULIKO WOTE CHELSEAsale jembe
Mshambuliaji wa Chelsea, Eden Hazard yuko katika mazungumzo ya mwisho ya kuongeza mkataba na klabu hiyo.


Kama watakubaliana Hazard atakuwa ndiye atakuwa mchezaji anayelipwa zaidi kuliko wengine wote× Chelsea kwa kuwa anatarajia kuanza kupata pauni 200,000 kwa wiki.Taarifa zimeeleza kupitia mwanasheria wake,× Hazard yuko katika hatua za mwisho za makubaliano ya kusaini mkataba huo mpya.Iwapo watakubaliana, mkataba utakuwa wa miaka mitano na× Hazardatabeba pauni milioni 10.Mbelgiji huyo ni kati ya wachezaji nyota zaidi× Chelsea na katika Ligi Kuu England.Timu kadhaa kama Barcelona, Real Madrid, AC Milan zimekuwa zikimtolea ‘mimacho’,


at 14:18
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest
Labels: Michezo
Newer Post Older Post Home

LIGI MBALI MBALI

  • SPAIN: Msimamo wa ligi
  • UFARANSA: Msimamo wa ligi
  • URENO: Msimamo wa ligi
  • TANZANIA BARA: Msimamo wa ligi
  • ITALY:Msimamo wa ligi
  • ENGLAND: Msimamo wa ligi
  • UJERUMANI:Msimamo wa ligi
  • Ratiba ya Ligi Kuu England 2014/2015
  • RATIBA YA WIKI: Michuano Mbali mbali Dunian
  • MATOKEO YA WIKI NZIMA MICHUANO YOTE
  • Kwa Matukio na Habari Zinazohusiana na Bunge la Katiba

Kutana nasi:

follow us

Unaweza ukalike na kushare hapa

Zilizosomwa Sana

  • Je, unataka kuwa tajiri?...Basi Tazama ni Jinsi Gani Matajiri Wanatofautiana Kifikra na Masikini
  • Angali Picha za Meli kubwa Kuliko Zote dunian ilivyotia nanga Uingereza
  • Sikiliza kipande cha Wimbo mpya wa Rose Muhando ‘Jiwe’
  • Tazama Picha Mbalimbali za mkutano Mkuu wa CHADEMA Leo
  • Rooney Apambana Kuvunja Rekodi ya Sir Bobby Charlton England
  • Kurasa za mbele za magazati ya leo Sep 20,2014
  • Habari Zilizopewa Nafasi Kubwa Katika Magazetini leo September 30 2014
  • Hatimaye Jambazi Lililokuwa Likiwauwa Wanawake Jijini Arusha Lauwawa Baada ya Majibizano Makali ya Silaha na Polisi
  • Habari Motomoto zilizojitokeza katika magazeti ya leo Sep.16, 2014
  • Pointi 5 za Job Ndugai kuhusu katiba mpya… gesi, kuahirishwa mchakato, bunge na mengine

Haba Nyingine Zilizomo

  • 09/07 - 09/14 (4)
  • 09/14 - 09/21 (6)
  • 09/21 - 09/28 (2)
  • 09/28 - 10/05 (14)
  • 10/05 - 10/12 (21)
  • 10/12 - 10/19 (18)
  • 10/19 - 10/26 (2)
  • 11/30 - 12/07 (1)

Labels

  • Habari
  • Michezo
  • music
  • Wanafunzi
  • Pata Magazeti Mbalimbali ya Tanzania hapa
Ethereal theme. Theme images by luoman. Powered by Blogger.