bin zubery
MAN UNITED YAANZA LIGI, YAITANDIKA QPR 4-0 DI MARIA AKIFUNGUA BIASHARAMANCHESTER.
Ander Herrera akaifungia Manchester United bao la pili dakika ya 35 kabla ya Wayne Rooney kufunga la tatu dakika ya 44 na Juan Mata akapiga la nne dakika ya 58. Radamel Falcao alianzia benchi, akaingia dakika ya 67 kuchukua nafasi ya Juan Mata.Kikosi cha Man Utd kilikuwa: De Gea, Rafael/Valencia dk67, Evans, Rojo, Blackett, Blind, Herrera, Mata, Di Maria/Januzaj dk82, Rooney, Van PersieQPR: Green, Isla, Ferdinand, Caulker, Hill/Traore dk46, Sandro/Henry dk74, Kranjcar, Fer, Phillips, Austin/Vagas dk59, Hoilett.